“Mguu wa kushoto nyuma,” umati uliimba.

“Mguu wa kushoto kulia,” Tin aliimba.

“Mguu wa kushoto kulia,” umati uliimba.

Josh na Hope walikuwa wanatabasamu na kuimba, lakini Neo alikuwa anatafuta bendi lile.